Tuesday, February 14, 2017

UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA (BROILER).


Image result for mabanda ya kuku 100
Eneo linalohitajika ni mita mbili (2), Kwa maana ya Urefu wa mita mbili(2) na Upana wa mita moja(1). 
Huu ni ufugaji wenye tija kwa wale wafugaji wenye eneo dogo.

*Kinakachofanyika katika hilo eneo ni ujenzi wa ghorofa/shelves tano(5) kwenda juu kwa ajili ya kufugia kuku.
*Urefu unaoshauriwa wa kila shelf/chumba kimoja ni futi moja na nusu hadi mbili.
*Katika kilachumba/shelf unashauriwa kuweka kuku ishirini, kwa maana ya kuku 10 katika eneo la mita 1.
*Ukichukua idadi ya kuku katika kila chumba (20) mara idadi ya vyumba 5, watapatikana kuku mia(100) katika eneo la mita 2.
*Kumbuka kuwa unaweza kufanya mabadiliko mengine kulingana na eneo utakaloweka ghorofa la kuku.

Related Posts:

  • UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI NA MAFANIKIO YAKE Kama ilivyo chunvi ya dunia, ufugaji pia huhitaji upendo, uvumilivu, karama, utu na maombi ya dhati ambayo yatazaa namna nzuri ya kuipenda kwa dhati ya moyo wako kazi hii ya ufugaji. Vinginevyo utabakia kuwa mtu wa kujarib… Read More
  • UFUGAJI WA KUKU WENYE TIJA Wengi wetu tunafuga kuku pasi na malengo, nimekaa chini na nikaona uchoyo ni jambo moja baya sana linalotuumiza sana watanzania katika maendeleo ya kila jambo. (Hasa uchoyo wa mawazo, tunalaumu mno hatutoi mawazo yenye tij… Read More
  • Mashine za kutotolea Vifaranga Pata vifaranga vya kuku wa kienyeji aina sasso kwa bei poa na kwa Mkopo.Kifaranga sasso 1@1500cashMkopo ni miezi 3..Kifaranga sasso kwa mkopo 1@1650.Vifaranga vya kuanzia cku moja na kuendelea. Kwa maelezo zaidi piga 071… Read More
  • UFUGAJI WA SAMAKI Nyanja ya ufugaji wa samaki inajumuisha ukuzaji wa viumbe vya kwenye maji (bahari na maji baridi) katika mazingira tofauti na yale ya asili. Lengo kuu ni kukuza kwa muda mfupi ili kujipatia lishe, kipato na kutunza mazi… Read More
  • FURSA MBALIMBALI ZA BIASHARA NA MIRADI Changamkia Fursa mbalimbali ujikwamue Kimaisha Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. Kutengeneza na kuuza tofali Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmash… Read More

0 comments:

Post a Comment