Friday, February 17, 2017

AINA / KOO ZA KUKU

Image result for kuku aina ya Kuchi

KOO ZA KUKU ZINAZOPATIKANA HAPA TANZANIA:

Kuna Koo nyingi za kuku wa asili zinazopatikana hapa nchini.

                                   KOO

Baadhi ya Koo hizo na sifa zake ni hizi zifuatazo:

                               1.   Kuchi: 
Image result for kuku aina ya   Kinyavu
                            Sifa zake za Kuchi:

a)      Ana umbo lenye ukubwa wa wastani.
b)      Hana upanga kichwani.
c)      Ana mdomo mfupi.
d)     Ana shingo ndefu yenye manyoya.
e)      Ana ngozi ya rangi ya njano
f)       Ana miguu mirefu isiyo na manyoya
g)      Ana uwezo mkubwa wa kujihami
h)      Wanapatikana mikoa ya Tabora, Singida, Shinyanga, Mwanza, na Tanga.


2 Kishingo:
Image result for kuku aina ya Kishingo
              Sifa zake za Kishingo:

Ø  Ana umbo lenye ukubwa wa wastani 
Ø  Ana upanga kichwani.
Ø  Ana shingo isiyo na manyoya.
Ø  Ana ngozi yenye rangi ya njano au nyeusi.
Ø  Ana miguu mifupi isiyo na manyoya.
Ø  Anapatikana mikoa yote ya Tanzania. 

                        3 Bukini:
 Image result for kuku aina ya Bikini
        Sifa zake za Bukini :

Ø  Ana umbo fupi na ni mnene.
Ø  Ana upanga kichwani.
Ø  Ana shingo yenye manyoya.
Ø  Ana ngozi yenye rangi ya njano.
Ø  Hana manyoya ya mkia.
Ø  Wanapatikana kwa wingi katika mikoa ya Tanga, Pwani, Kilimanjaro, na Singida.
                                 Ana miguu mifupi isiyo na manyoya.
           o   Ana miguu mifupi isiyo na manyoya.

     4  Kinyavu / nungunungu/kuchere:
Image result for kuku aina ya nungunungu
            Sifa zake Kinyavu:

Ø  Ana umbo dogo akilinganishwa na Kishingo na Kuchi
Ø  Ana shingo yenye manyoya.
Ø  Ana ngozi yenye rangi ya njano.
Ø  Ana manyoya yaliyosimama.
Ø  Ana mkia mrefu wa wastani.
Ø  Anapatikana katika mikoa yote nchini.
        5  Kawaida /Kitewe:
Image result for kuku aina ya Kitewe
            Sifa zake Kawaida / Kitewe:

Ø  Ana umbo dogo ukilinganisha na Kuchi au Kishingo.
Ø  Ana shingo yenye manyoya.
Ø  Ana ngozi yenye rangi nyeupe, njano au nyeusi
Ø   Ana manyoya ya mkia yenye urefu wa wastani.
Ø  Anapatikana mikoa yote ya Tanzania.

Related Posts:

  • LISHE YA KUKU NA KUCHANGANYA CHAKULA  LISHE YA KUKU: Ili kuku waweze kuishi, kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula kingi na chenye ubora unaotakiwa. Uwingi na ubora wa lishe ya kuku unaweza kuainishwa katika makun… Read More
  • CHAKULA CHA NGURUWE NA ULISHAJI Chakula bora kwa Nguruwe ni moja  ya suala muhimu sana kwenye dhana nzima ya ufugaji wa Nguruwe wenye tija na faida kwa mfugaji. Chakula cha Nguruwe kinagharimu kama asilimia sabini ya garama zote za ufugaji wa ngur… Read More
  • MATUNZO YA WATOTO WA NGURUWE Kwa kawaida hunyonya kwa wiki 5 -8, na baada ya hapo hutengwa na mama yao na kuanza kupewa chakula chenye protini 30% kwa muda wa wiki 6 za mwanzoKUKATA MENOMara baada ya kuzaliwa watoto wakatwe meno kwa kutumia mkasi mkubwa… Read More
  • Ufugaji bora wa nguruwe Nguruwe ni mnyama mwenye faida, ni rafiki kwa mazingira na hahitaji gharama kubwa“Ufugaji wa Nguruwe ni lazima uwe wa kisasa ili kupata mazao bora. Unaweza kupata kila unachohitaji wewe, familia na hata ndugu zako kutokana… Read More
  • AINA / KOO ZA KUKU KOO ZA KUKU ZINAZOPATIKANA HAPA TANZANIA: Kuna Koo nyingi za kuku wa asili zinazopatikana hapa nchini.                    … Read More

0 comments:

Post a Comment