Wednesday, February 15, 2017

FURSA MBALIMBALI ZA BIASHARA NA MIRADI


Image result for ufugaji mbalimbali
Changamkia Fursa mbalimbali ujikwamue Kimaisha

  • Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha.
  • Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha.
  • Kutengeneza na kuuza tofali
  • Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.
  • Kuanzisha kituo cha redio na televisheni
  • Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na vifaa vya compyuta na mawasiliano.
  • Kuuza software; mfano Antivirus, Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k
  • Kushona na kuuza nguo.
  • Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali,
  • Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi, Ng'ombe, Kuku, Bata, na wengine.
  • Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu na vifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo.
  •  Kutoa ushauri mbalimbali wa Kitaalamu.
  • Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengeneza popcorn na kuziuza.
  • Kusajili namba za simu na kuuza vocha
  • Kuwa na mradi wa Pikipiki zisizotumia mafuta na zinazotumia mafuta
  •  Kilimo cha mazao mbalimbali kulingana na hali ya hewa ya sehemu husika.
  • Kuuza Mitumba
  • Kusimamia miradi mbalimbali
  • Kufungua duka la kuuza mitambo mbalimbali
  • Kufungua banda la chakula na chips
  • Kukodisha turubai viti na meza
  • Kufungua Supermarket
  • Kufungua Saluni
  • Kufungua Bucha
  • Video Shooting & Editing.
  •  Kufungua Internet cafe
  • Duka la kuuza matunda
  • Kufungua duka la kuuza vifaa vya simu za mkononi na landline.
  • Kufungua duka la vifaa vya ujenzi; cement, vifaa vya umeme, duka la mabati
  • Kutengeneza michoro mbalimbali ya majumba na miradi ya ICT
  • Kuchapa vitabu, bronchures, n.k
  • Kuanzisha kampuni ya ujenzi (Building contractor)
  • Kuuza Vifaa vya umeme wa nishati ya jua (solar) ,battery, inverter na vifaa vingine vya solar n.k
  • Kuuza maji kwa jumla na rejaleja.
  • Kutengeneza na kuuza Unga wa lishe bora.
  • Kukodisha Music
  • Kuanzisha Mradi wa Taxi
  •  Kuanzisha mradi wa Daladala
  • Kuuza vifaa vya Kompyuta, laptops, converters, HDDs, Monitors, Softwares, CD Copiers na vifaa vingine.
  • Kununua magenerator na kukodisha
  • Kufungua kampuni ya kutoa huduma za simu
  •  Kufungua kampuni ya kutoa huduma za internet (ISP)
  • Kuuza mabati na vigae
  • Kujenga apartments
  • Kufungua Kisima cha mafuta ya taa au mafuta ya aina zote
  • Kufungua Duka la samaki
  • Kufungua Duka la nafaka
  •  Kufungua Shule za Awali, Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo.
  • Kujenga hostel
  • Kuuza vocha na ving'amuzi vya DStv, Zuku, Startimes, Easy TV, TNG, Digitech, Continental.
  •  Kujenga mtambo wa kuzalisha umeme na kuuza katika viwanda na wananchi.
  • Ufundi simu
  • Kufungua Hospitali, Zahanati.
  • Maabara ya Macho, Meno
  • Kuchimba/Kuuza Madini
  •  Kufungua ofisi ya kutoa huduma ya simu na fax
  • Kuuza miti na mbao
  • Kufungua Grocery, bar
  • Kufungua studio ya kupiga na kusafisha picha
  •  Kucharge simu/battery
  • Duka la TV na vifaa vingine
  • Kuanzisha biashara ya kuuza vyakula katika sherehe na tamasha mbalimbali (catering).
  • Banda la kupigisha simu
  • Kuuza na kushona Uniform za shule
  • Kuanzisha duka la kuuza vitu kwa jumla.
  • Kufungua gereji za kutengeneza bajaji, pikipiki na magari
  • Kuuza vyuma, pembejeo, rake, jembe
  • Kuuza fanicha
  • Kufungua sehemu ya kuziba pancha za matairi ya magari na mitambo.
  • Kujenga nyumba za kulala wageni (hotel)
  • Kuagiza na kuuza vifaa vya aluminium.
  • Kuuza vioo
  • Kushona na kukodisha nguo za harusi
  •  Kufungua yard kwa ajili ya kuosha magari
  • Kuuza mashine za kuchomelea (welding machine).
  • Kuuza vifaa vya kuvaa Site (boots, helmets etc)
  •  Kununua mabasi kwa ajili ya kusafirisha wanafunzi
  • Kufungua studio ya kutengeneza vipindi vya redio na televisheni
  •  Kuanzisha ofisi ya michezo ya televisheni (TV Games)
  • Kufungua benki
  • Kuwa na malori ya kubeba kokoto na mchanga
  • Kuuza vifaa mfano TV, CCTV Camera, n.k
  • Kuwa dalali wa vitu mbalimbali
  • Kuanzisha mradi wa kukodisha fork lift na winchi (crane)
  • Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza viatu.
  • Kuanzisha viwanda mbalimbali
  • Duka la vifaa vya simu na gadgets mbalimbali zinazoendana na mawasiliano ya Vodacom, TTCL, AIRTEL, TIGO, ZANTEL, n.k.
  • Kujenga Ukumbi wa kukodisha kwa sherehe, mikutano mbalimbali
  • Kununua matrekta, mitambo ya ujenzi wa barabara na kukodisha
  • Kutengeneza antenna na kuuza
  • Kufungua mradi wa Machine za kusafisha, kutoboa na kuchana mbao
  • Kufungua mradi wa kuuza vifaa vya Umeme wa kutumia upepo
  • Biashara ya kuagiza magari
  • Kufanya biashara za Jukebox
  • Kukodisha matenki ya maji
  • Kufungua duka la kuuza Asali
  • Kutengeneza Mikokoteni/ matoroli na kuikodisha
  • Kufungua Duka la vinyago, batiki
  • Kuanzisha huduma ya AIRTEL MONEY, MPESA, TIGOPESA, EZY PESA
  • Kuanzisha sehemu ya kufanyia mazoezi (Gym).
  • Kununua na kuuza vifaa vya kupima ardhi.
  • Kufungua duka la kuuza dawa (pharmacy).
  • Kufungua Kampuni ya Ulinzi
  • Kufungua kampuni ya "Clearing and fowarding"
  • Kuchezesha vikaragosi
  • Kuuza spea za bajaji, magari na pikipiki
  • Kuuza baiskeli
  • Kuuza magodoro
  • Kuuza vyombo mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya nyumbani mfano bakuli, sahani, vikombe, vijiko,
  • Kuuza marumaru (limestones)
  • Kuuza kokoto
  • Kuuza mchanga
  • Kufundisha Tuisheni
  • Biashara za bima
  • Kampuni ya kusafirisha abiria kwa njia ya anga (ndege)
  • Biashara za kitalii
  • Biashara za meli na maboti.
  • Kampuni ya kuchimba visima
  • Kufungua ofisi ya wakili/mawakili wa kujitegemea
  • Kuuza mkaa
  • Kutengeneza mashine za kutengeneza tofali
  •  Kampuni ya kupima ardhi
  • Kampuni ya magazeti
  • Kuchapa (printing) magazeti
  • Kuuza magazeti
  •  Kuchimba mafuta
  • Kiwanda cha kutengeneza mabati
  • Kiwanda cha kutengeneza fanicha
  • Kiwanda cha kutengeneza matairi
  • Kutengeneza vitanda vya chuma
  • Kununua nyumba katika Maghorofa (Apartments) na kuzikodisha.
  • Kukodisha makapeti
  • Kupamba maharusi na kumbi za harusi/sherehe.
  • Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka.
  • Kazi ya ususi na kusafisha kucha.
  • Kuuza Gypsum
  • Malori ya kubeba mafuta na Mizigo
  • Duka la kuuza mboga za majani
  • Duka la kuuza maua.
  • Kampuni ya kuzoa takataka
  • Kampuni ya kuuza magari
  • Kuuza viwanja
  • Uvuvi
  • Kutengeneza na kuuza nguzo za kujengea fensi
  • Uchoraji wa mabango.
  • Duka la kuuza silaha
  • Ukumbi wa kuonesha mpira
  • Biashara ya mlm (network marketing)
  •  Yadi kwa ajili ya kupaki magari
  • Mradi wa trekta za kukodisha kwa ajili ya kilimo

0 comments:

Post a Comment